BWAYOS LYRICS

"VUKA BODA" From WALOKOKA?

CHORUS
Vuka boda vuka boda vuka boda vuka
Vuka boda vuka dada vuka kaka vuka
Vuka boda vuka ndugu vuka beshte vuka
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah

Buka boda buka boda buka boda buka
Buka boda buka mama buka taata buka
Buka boda buka gundi nawe noli buka
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
VERSE ONE

Boda nilivuka mwaka 2006
Since then nimeshikilia Jesus like this
Kama Yule mother Mathew 9:20-22
Magonjwa yameponywa drug addiction imeshindwa
Klabu nime saree fornication ime go
Sina worries (heee)
Niko securely secured
Nipate bible study daily breakfirst na dinner
Nataka uvuke boda hata kaa uko medina
Vuka sasa acha kusema utavuka kesho
Hizi siku zetu duniani niza mwisho
Acha kuzuba , acha kunilenga
Hii ni real talk hapana zile za wahenga
CHORUS
Vuka boda vuka boda vuka boda vuka
Vuka boda vuka dada vuka kaka vuka
Vuka boda vuka ndugu vuka beshte vuka
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah

Buka boda buka boda buka boda buka
Buka boda buka mama buka taata buka
Buka boda buka gundi nawe noli buka
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
VERSE TWO
Kabla mi nivuke nilikuwa kama wewe
Samanya nti luliba lumu mbele ne Yahweh
Kama Nikodemus, nilikua ignorant
Sikujua kusavika niku zaliwa tena
Mukanisa , wenawulira alter call nga nepena
Cheki sasa niko huru mi sina ngori
Aboluganda buka muje fwena tumusiinze
Ebintu byensi ebikyamu byona tubifiise
Abavubi, muje tube fishers of men
Fishers of souls matthew4:19
Cheki vile this side tuko na furaha
Maisha fiti tutishiki bible ni silaha
CHORUS
Vuka boda vuka boda vuka boda vuka
Vuka boda vuka dada vuka kaka vuka
Vuka boda vuka ndugu vuka beshte vuka
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah

Buka boda buka boda buka boda buka
Buka boda buka mama buka taata buka
Buka boda buka gundi nawe noli buka
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
VERSE THREE
Kama wee ni sina vuka kuja mingle nasi
Karibu kwenye hii injili tamu kaa nanasi
2corinthians5:17
The old shall go utakuwa new creation
Kama bullet proof vaa amour ya God
Ephessianas chapter 6 verse 10 to 20
Tell the world about Jesus, yaani testify
Testimony ndizo zinafanya akuwe glorified
Soma bibilia kila siku maishani
Kila juma pili pia nenda kanisani
Tafuta holy ghost, usiwe na haya
Soma Rom1:16 hauta gwaya
CHORUS
Vuka boda vuka boda vuka boda vuka
Vuka boda vuka dada vuka kaka vuka
Vuka boda vuka ndugu vuka beshte vuka
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah

Buka boda buka boda buka boda buka
Buka boda buka mama buka taata buka
Buka boda buka gundi nawe noli buka
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah

WRITTEN BY
BWAYOS


Comment on "Bwayos - Vuka Boda Lyrics "

  • LIKE GOSPEL MUSIC ON FACEBOOK :

This Week's Top Song

Luganda Gospel Nonstop | GMP Promotions
Downlod Song Play Song

GMP Promotions-Luganda Gospel Nonstop

Trending

Music & Videos
RECENT SEARCHES (0)
VIEW ALL

Featured Song

Twalibaddewa | Grace Nakimera
Downlod Song Play Song

Grace Nakimera-Twalibaddewa

TOP VIDEOS (5)
VIEW ALL


MUSIC NEWS (5)
VIEW ALL


MUSIC ARTICLES (5)
VIEW ALL